Habari za michezo
Habari za michezo

KILICHOTOKEA JANA, SIMBA NA YANGA HAWAWEZI

Staff Desk September 13, 2023 12:29 pm

Mchambuzi wa masuala ya soka Bongo, Amri Kiemba amesema kilichofanyika jana kwa Singida FG kuungana na mashabiki wa Yanga SC na Azam FC kwenye mashindano ya kimataifa ni kitu kizuri lakini kinahitaji muda kwa timu za Kariakoo.

Akizungumza kwenye uchambuzi wake, Kiemba amesema hiyo inatokana na hisia.

“Ukiliona jambo kwa picha yake unaliona ni jambo zuri ambalo linawezekana kukawa na muda mrefu sana wa kupandikiza hiko ambacho kimeanza kwa siku ya jana kwa sababu kitu pekee ambacho huwezi kupinga ni kwamba mchezo wa mpira ni mchezo ambao unaenda na hisia.

“Hisia ni tofauti na mambo ya akili, kumshawishi mtu apambane na hisia zake ili aweze kutumia akili ndio pale sasa kazi inapokuwepo kwamba hili jambo ni la kitaifa.

“Ni jambo la hisia na kwa sababu ni jambo ambalo ndio linaanza watu wasiwe na haraka, na ningependa pia kuliona timu moja ya K/koo ikicheza zingine zote zitoke kusapoti,” alisema Amri.

YANGA YAPAA AFRIKA YASHIKA NAMBA MOJA DILI LA SHABANI DJUMA NA AZAM …MAMPYA YAIBUKA….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply