Home Habari za michezo PROFESA JAY ATEMBELEWA NA KIONGOZI WA SIMBA

PROFESA JAY ATEMBELEWA NA KIONGOZI WA SIMBA

simba

Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba SC Tanzania, Iman Kajula amemtembelea Professor Jay na kumjulia hali nyumbani kwake.

Kajula ametumia fursa hiyo kufikishia salam za viongozi na mashabiki wa Simba ambao wanathamini mchango wake mkubwa kama shabiki wa Simba.

SOMA NA HII  JULIO ATIA NENO SAKATA LA CHAMA...ATOA MIFANO YA MIAKA YA NYUMA