Home Azam FC AŹAM ,SIMBA KINAUMANA LEO

AŹAM ,SIMBA KINAUMANA LEO

Habari za Azam FC

Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea leo Alhamisi, Septemba 21, 2023 kwa michezo miwili kupigwa Dar es Salaam.

‘Wekundu wa Msimbazi’, Simba itakuwa mwenyeji wa ‘Wanamangushi’, Coastal Union ya Tanga kwenye uwanja wa Uhuru wakati ‘Walima Alizeti’ Singida Fountain Gate itakuwa wageni wa ‘Matajiri wa Dar es Salaam’, Azam kwenye uwanja wa Azam Complex.

Katika mchezo mmoja wa ligi hiyo uliofanyika Septemba 20, mabingwa watetezi ‘Timu ya Wananchi’ Yanga imepata ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya ‘Wauaji wa Kusini’, Namungo.

SOMA NA HII  SIKU 10 TU...PABLO ALIAMSHA....ASEMA KWA MZIKI HUU SOKA LITAPIGWA..YANGA SC INALETA KITU....