Home Habari za michezo BEKI HUYU WA SIMBA ATIMKIA UARABUNI, ISHU IKO HIVI

BEKI HUYU WA SIMBA ATIMKIA UARABUNI, ISHU IKO HIVI

Tetesi za Usajili Simba

Mlinzi wa zamani wa Simba SC, Mohamed Ouattara amejiunga na klabu ya Al-Ain FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Falme za Kiarabu (UAE) kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Mlinzi wa zamani wa Simba SC, Mohamed Ouattara amejiunga na klabu ya Al-Ain FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Falme za Kiarabu (UAE) kwa mkataba wa mwaka mmoja. Ouattara (24) raia wa Burkina Faso alisajiliwa na aliyekuwa kocha wa Simba Zoran Maki msimu uliopita kabla ya kuachana na timu hiyo msimu huu.

SOMA NA HII  KUELEKEA MECHI YA LEO SIMBA vs USGN....POLISI KUINGIA NA MBINU HII MPYA..UKIZINGUA...UNACHAKAZWA..