Home Habari za michezo WALIOFUNGWA 6-0 NA SIMBA WAKANA KUCHEZA MECHI LEO…ISHU IKO HIVI KUMBE..

WALIOFUNGWA 6-0 NA SIMBA WAKANA KUCHEZA MECHI LEO…ISHU IKO HIVI KUMBE..

Habari za Michezo

Timu ya Ngome kutoka kisiwani Unguja imekana kufungwa goli 6 na klabu ya Simba kama walivyochapisha kwenye Ukurasa wao wa instagram.

Akizungumza mchezaji wa timu hiyo @kibadeni_jr amesema:

“Hatujacheza mechi na Simba na sijui hizo taarifa zimetoka wapi, leo asubuhi tumefanya mazoezi katika uwanja wetu.

Sio Simba tu, hata KMC FC iliwahi kutoa chapisho ya kutufunga wakati sisi hatujacheza nao”.

Soma taarifa rasmi ya Klabu ya Ngome FC hapa chini, kisha tupe maoni yako.

SOMA NA HII  WAKATI WAMESAJILIWA KWA MATUMAINI MAKUBWA....KOCHA MZAMBIA AANIKA HAYA KUHUSU VIWANGO CHA KAMBOLE NA PHIRI...