Home Habari za michezo KAMATA BONABODA NA ZAWADI NYINGINE KIBAO KUPITIA MERIDIANBET…

KAMATA BONABODA NA ZAWADI NYINGINE KIBAO KUPITIA MERIDIANBET…

Meridianbet

Hii hapa promosheni nyingine kutoka Meridianbet inayokupa zawadi kabambe kama vile Bodaboda mpya na pesa taslim bila kusahau simjanja za kijanja zitamwagika kama mvua.

 Kama wewe ni mtumiaji mzuri wa Meridianbet na umekuwa ukibashiri hutakuwa sio mgeni na mchezo wa Keno, ambapo kupitia promosheni ya Keno Bonanza, Meridianbet itatoa Bodaboda, Simujanja na Pesa taslim kwa washindi wote watakaopatikana.

Unambiwa kwamba promosheni ya Keno Bonanza imeanza Septemba 21 na itatudumu kwa muda wa mwezi mmoja, Oktoba 21 droo ya washindi itachezeshwa ambapo wachezaji waliocheza mfululizo mara tano kuanzia Jumatatu mpaka Jumapili kwa kila wiki wataweza kujishindia zawadi kabambe.

 Maelezo Mafupi Kuhusu Keno ya Meridianbet.

Mchezo wa Keno ya Meridianbet kasino ya mtandaoni una jumla ya namba 80, ambapo namba kuanzia 10 hadi 20 huchezwa kwa kutegemeana na aina ya Keno unayocheza kuna Hot Keno, Keno Instant. Lengo la mchezo ni kubashiri idadi kubwa ya namba zitakazotokea/zitakazochaguliwa kadri iwezekanavyo, hasa kubashiri namba zote.

Hata hivyo, hata kama hautofanikiwa kubashiri namba zote, pia unaweza kushinda pesa kulingana na idadi ya namba ulizochagua kutokea.

Michezo ya Keno ina chaguo la Autoplay unaweza kucheza mfululizo bila kukatisha mzunguko.

CHEZA HAPA

Jinsi ya Kucheza Hot Keno

Unachohitajika kufanya ni kuandaa mchanganyiko/mpangilio wa namba mbili hadi namba kumi na kuanza mchezo.

Chagua namba zako pendwa au angalia uchezeshaji wa awali na cheza kwa kubashiri namba ambazo unadhani zitatokea kwenye gurudumu la namba.

Ikiwa hauwezi kuamua, hiyo pia sio tatizo. Chagua mchanganyiko wa namba unazotaka kucheza, na kisha chagua kitufe cha uteuzi nasibu (random selection).

Tiketi za pesa halisi pekee ndio zitakazohesabika katika promosheni hii. Dau la chini kwa tiketi ambalo litahesabika kwenye promosheni hii ni TSh 1,000+
Wateja watavuna alama kwenye kila tiketi na kila bashiri ya TSh 1,000

  •     Kila tiketi ya TSh 1,000 mteja atapata alama 5
  •     Kila dau la TSh 1,000 TZS mteja atapata alama 15 ( endapo ataweka beti dau la TSh 3000, atapata alama 45 ya dau + alama 5 za beti = alama 50)
SOMA NA HII  MANJI NDANI YA BONGO

Endapo wachezaji wawili wamefungana alama, kucheza mara nyingi mfululizo kutatumika kupata mshindi, mchezaji aliyecheza mara nyingi mfululizo atakuwa mshindi.

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.