Home Habari za michezo KIKOSI CHA POWER DYNAMO KIMEWASILI NCHINI KWAAJILI YA SIMBA

KIKOSI CHA POWER DYNAMO KIMEWASILI NCHINI KWAAJILI YA SIMBA

Kikosi cha Timu ya Power Dynamos tayari wamekwisha wasili nchini kutokea Zambia kwaajili ya mchezo wao wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Simba Sc.

Mchezo huo ambao utapigwa Jumapili, Septemba 1, 2023 kuwania hatua ya makundi ya michuano hiyo baada ya mchezo wa kwanza kumalizika kwa sare ya bao 2-2 nchini Zambia

SOMA NA HII  AHMED ALLY AFUNGUKA HALI MBAYA WANAYOPITIA