Home Habari za michezo AHMED ALLY AFUNGUKA HALI MBAYA WANAYOPITIA

AHMED ALLY AFUNGUKA HALI MBAYA WANAYOPITIA

Habari za Simba leo

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally kupitia Instagram amefunguka sare iliyopata timu hiyo 1-1 na ASEC Mimosas mechi ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi.

“Tumepata alama moja, si nzuri sana na si mbaya sana, tuna kazi kubwa ya kufanya katika mechi zijazo kuhakikisha malengo yanatimia. Bado tuna nafasi ya kufanya vizuri, tumepoteza alama tatu katika 18 za hatua ya makundi hivyo tumebakiwa na 15 za kupigania. Nyakati ngumu zinatukomaza na kutukumbusha tuboreshe wapi kwenye timu yetu. Poleni sana Wanalunyasi,”

SOMA NA HII  AZIZ KI ATAMBA YANGA, ABEBA MILIONI 4 KIBOSI