Home Habari za michezo KISA RAFU YA INONGA JANA….SIMBA WATOA TAMKO HILI…

KISA RAFU YA INONGA JANA….SIMBA WATOA TAMKO HILI…

Habari za Simba

Mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu amedai kuwa Mchezaji wao Henock Inonga ameumizwa kwa makusudi na Mchezaji wa Coastal Union Haji Ugando katika mchezo wa jana.

Akizungumza baada ya kumalizika kwa mchezo huo Mangungu amesema;

“ Kuna kampeni inafanywa kuumiza wachezaji wetu wa Simba ili Simba isicheze vizuri kama walivyomuumiza Moses Phiri”

Je unadhani Mangungu yuko sahihi kuwa Simba wanafanyiwa hujuma? Tupe maoni yako

SIMBA MDOGO MDOGO KAMA YANGA.

Wekundu wa Msimbazi Simba SC, jana wameendeleza rekodi yao ya kutopoteza mchezo wa Ligi Kuu ya NBC na sasa wamefikisha Unbeaten 26 baada ya kupata ushindi wa 3-0 dhidi ya Coastal Union.

Simba wanajaribu kuitafuta rekodi ya Unbeaten 49 ambayo iliwekwa na Yanga SC kabla ya kutenguliwa na Ihefu FC msimu uliopita wa Ligi 2022-23.

SOMA NA HII  KUHUSU MAMBO YANAVYOENDA NDANI YA SIMBA SC...MO DEWJI AVUNJA UKIMYA KUHUSU TRY AGAIN...