Home Simba SC KIKOSI CHA SIMBA KINACHOTARAJIWA KUANZA LEO DHIDI YA AZAM FC

KIKOSI CHA SIMBA KINACHOTARAJIWA KUANZA LEO DHIDI YA AZAM FC


 MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo wana kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.

Kwa mujibu wa gazeti la michezo la Spoti Xtra, Jumapili, hiki hapa kikosi kinatarajiwa kuanza kwa upande wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes:-

Aishi Manula

Shomari Kapombe

Joash Onyango

Pascal Wawa

Tshbalala

Rarry Bwalya

Thadeo Lwanga

Clatous Chama

Bernard Morrison

Medddie Kagere

Luis

SOMA NA HII  UKWELI NI KWAMBA ..PAMOJA NA SIMBA KUTINGA MAKUNDI..WASIPOBORESHA HAYA..WATAKIONA CHA MOTO....