LEO kwa mashabiki wa soka watakuwa na muda wa kucheki Ligi mbalimbali Duniani ambazo zinaendelea ambapo kwa upande wa Ligi Kuu Bara mambo yatakuwa namna hii:-
Coastal Union v Yanga, Mkwakwani majira ya saa 10:00 jioni
Tanzania Prisons v Lipuli, Uwanja wa Sokoine, saa 10:00 jioni.
Alliance v Singida United, saa 10:00 jioni, Uwanja wa Nyamagana.
Ligi Kuu England
Manchester United v Watfford, saa 11:00 jioni
Wolves v Norwich, saa 11:00 jioni
Arsenal v Everton, saa 1:30 usiku
La Liga
Alaves v Bilbao, saa 10:00 jioni
Valladolid v Espanyol saa 12:00 jioni
Getafe v Sevilla saa 12:00 jioni
Atletico Madrid v Villarreal saa 5;00 usiku
Ligue 1
Saint-Etienne v Reims, saa 11:00 usiku
Rennes v Nimes saa 1:00 usiku
PSG v Bordeaux saa 5:00 usiku