Home Azam FC KIKOSI CHA AZAM FC LEO KINACHOTARAJIWA KUANZA DHIDI YA SIMBA

KIKOSI CHA AZAM FC LEO KINACHOTARAJIWA KUANZA DHIDI YA SIMBA


 LEO Februari 7, Uwanja wa Mkapa majira  ya saa 10:00 jioni unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba v Azam FC.

Mchezo huo umeshika hisia za wadau kutokana na ushindani uliopo ndani ya Ligi Kuu Bara ambapo awali ulipangwa kuchezwa majira ya saa 1:00 usiku ila sasa utachezwa majira ya saa 10:00 jioni.

Hiki hapa kikosi cha Azam FC ambacho kinatarajiwa kuanza leo mbele ya Simba, kwa mujibu wa gazeti la michezo la Spoti Xtra, Jumapili:-

Kwa Azam FC ni:-Mathias Kigonya.

 Nicolas Wadada

Agrey Morrisi

Sebo

Bruce Kangwa

Nivere Tigere

Mudhathir Yahya

Naldo

Obrey Chirwa

Prince Dube

Ayoub Lyanga


SOMA NA HII  KUHUSU YALE MADAI YA AZAM KUWAWEKEA MADAWA WAARABU...UKWELI WOTE HUU HAPA...WALIANZIA UWANJA WA NDEGE...