Home Habari za michezo KOCHA WA SIMBA HUYU HAPA TAIFA STARS….. ISHU IKO HIVI

KOCHA WA SIMBA HUYU HAPA TAIFA STARS….. ISHU IKO HIVI

Taifa Stars

Meneja Mkuu wa kikosi cha Simba SC, Mikael Igendia ni sehemu ya Benchi la ufundi la kikosi cha Taifa Stars kilichoko kambini nchini Tunisia kinachojiandaa na mchezo wake wa kutafuta nafasi ya kufuzu AFCON Septemba 7 dhidi ya Algeria

Igendia ni kijana mdogo mwenye ujuzi katika Usomi usitia shaka ana (Bachelor’sMaster’s) digrii katika Sayansi ya Michezo wanasema Sports Scientist alizopata nchini Finland hii inajumuisha Analyst na Utawala

Pia ni Certified Sports Masseur yaani Mchua Misuli aliesomea katika Academy ya Carl Wihelm – Finland na kumalizia kazi ujuzi wake kwa mafunzo katika Timu ya AFC Bournemouth nchini England na kuwa Strength and Conditioning Coach yaani Mtaalam wa Utimamu wa mwili.

Katika Kazi ana uzoefu katika Timu za Wanariadha, Timu za Michezo ya Mbio za Magari na Timu za Mpira ambapo hapa kwenye soka alikuwa na Timu ya Gor Mahia na Timu za Taifa ya Kenya mbalimbali za kike na kiume za vijana na Kubwa kwa muda tofauti pia hivi Karibuni mwaka huu 2023 aliazimwa kwa muda kuwa maalum Taifa Stars wakati ya mechi dhidi ya Uganda zote mbili.

Pia, ana Uzoefu wake wa Utawala aliosomea ila aliishi nao kufanyia kazi. Akiwa Simba anafanya kazi Performance Analyst pia, kwa sababu ana elimu kubwa ya Sayansi ya Michezo amajiriwa Simba sababu ni Mtaalam wa Utimamu wa mwili kama Mkuu wa Wachua misuli aliekamilika hivyo kuitwa Meneja wa Timu na Mkuu wa Sayansi ya Michezo imejumuisha mambo yote hayo ukipenda unaweza kusema Strength and Conditioning Coach.

SOMA NA HII  BAADA YA 'KUPASUKA' KWA AZAM FC...GAMONDI AVUNJA UKIMYA YANGA...ATAJA ALIYEWAMALIZA...