Home Habari za michezo MAYELE HALI IMEBADILIKA PYRAMIDS

MAYELE HALI IMEBADILIKA PYRAMIDS

Habari za Michezo

Straika wa zamani wa Yanga Fiston Mayele ameendelea kuwa na mwanzo mbaya Pyramids baada ya kucheza mechi mbili za ligi bila kufunga wala kupiga shuti lililolenga goli/on target/kacheza dakika 91 kwenye mechi mbili za ligi mpaka sasa(vs Zamalek na National Bank)

SOMA NA HII  SIMBA WAITA OFA ZA KUMNUNUA ONYANGO....AHMED ALLY AANIKA SAKATA LAKE LOTE LILIVYO..