Home Habari za michezo YANGA WAJA NA JAMBO HILI JIPYA KWENYE MARUDIANO NA AL MAREKH

YANGA WAJA NA JAMBO HILI JIPYA KWENYE MARUDIANO NA AL MAREKH

Afisa Habari wa Yanga SC Ally Kamwe

Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe amesema mchezo wao wa marejeano dhidi ya Al Merekh ya Sudan siku ya Jumamosi Septemba 30, 2023, wameupa jina la Ki Day.

Akizungumzia maandalizi ya mchezo huo hii leo Septemba 26, 2023, Kamwe aliwataka mashabiki kuja kimtoko wa Aziz Ki katika uwanja wa Azam Complex Chamazi jijini Dar kuishangilia timu yao.

“Hii itakuwa ni Ki Day, siku hiyo naomba mashabiki wote tuvae bukta sasa mtasema sijui sina mguu wa kuvaa bukta hapana kila mtu anao mguu wa kuvaa bukta.

SOMA NA HII  KIKOSI CHA TAIFA STARS KIMEWASILI MOROCCO KWA NAMNA HII