Home Habari za michezo SIMBA KESHO MAPEMA TU, HALI IKO HIVI

SIMBA KESHO MAPEMA TU, HALI IKO HIVI

Kikosi cha Simba SC kinatarajiwa kuwasili nchini kesho Jumatatu ya Septemba 18, 2023 kikitokea nchini Zambia katika ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika.

Kikosi cha Simba SC kinatarajiwa kuwasili nchini kesho Jumatatu ya Septemba 18, 2023 kikitokea nchini Zambia katika ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika. Simba imeanza hatua pili ya masindano hayo kwa kutoka sare 2-2 dhidi ya Power Dyamos hivyo inasubiri mchezo marudiano utakaopigwa Oktoba 1 ili kujihakikishia kutinga hatua ya makundi.

SOMA NA HII  VITA YA UFUNGAJI HUKO LIGI YA MABINGWA AFRIKA SIO POA