Home Habari za michezo TSHABALALA,KAPOMBE HALITETE WASAIDIWE

TSHABALALA,KAPOMBE HALITETE WASAIDIWE

Habari za Simba

Kocha wa Zamani wa Simba SC Jamhuri Kiwelu Julio amefunguka kuhusu swala la mabeki waaandamizi Shomary Kapombe na Mohammed Hussein kuwa wamechoka yeye anaamini ninkweli wamechoka na wanahitaji kusaidiwa na Vijana nao wapate nafasi ya kucheza angalau dakika 45.

Israel Mwenda pamoja David Kameta ‘Duchu’ ni Vijana na Wana uwezo wa kucheza hata kama hawatapewa nafasi wote kwa pamoja basi angalau mmoja au wapewe angalau dakika 45 maana tunaona hata ulaya mpira kwa sasa unachezwa na Vijana wadogo kuanzia miaka 18-25 kwahiyo ni wakati wa Vijana kupewa nafasi.

“Tshabalala na Kapombe wanachoka waanze kupewa dakika 45 kipindi waingie angalau mmoja acheze wanapaswa kupewa nafasi”Kocha wa Zamani wa Simba Julio

SOMA NA HII  BAADA YA KUFAHAMU SIMBA WAMEPANGWA NA PAMBA FC...AHMED ALLY AIBUKA NA HAYA MAPYA..