Home Habari za michezo UJIO WA AFCON SIMBA YAHUSISHWA…. ISHU IKO HIVI

UJIO WA AFCON SIMBA YAHUSISHWA…. ISHU IKO HIVI

Simba vs Coastal Union

Mchambuzi wa masuala ya uchumi Scanda ameelezea sababu shawishi zilizosaidia kuitangaza Tanzania kiasi cha CAF kushawishika kwenye hii pamoja Bid 2027 kuandaa AFCON.

Mchambuzi huyo amesema katika hilo, Simba wana mchango mkubwa.

“Yote haya yaliyotokea lazima tuipongeze Simba, zile Kwa Mkapa hatoki mtu zimetusaidia sana kututangaza.

“Mbali na hayo Matamasha ya Simba Day na Mwananchi nayo pia yametutangaza sana, CAF wanataka kuona ile atmosphere ya mashabiki kujaa viwanjani, mara zote haya Matamasha mashabiki huwa wanajaa Elfu 40 hadi Elfu 60,” alisema.

SOMA NA HII  WAARABU WAPANIA KUVURUGA YANGA....... SASA WATUA KWA MAXI, PACOME