Home Habari za michezo UPDATE : INONGA HAJAVUNJIKA HALI YAKE IKO HIVI

UPDATE : INONGA HAJAVUNJIKA HALI YAKE IKO HIVI

Habazi sa Simba na Yanga

Taarifa mpya kutoka ndani ya Simba SC ni kwamba beki wao Henock Inonga anaendelea vizuri na kwamba hajavunjika.

Inonga aliumia kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union ambao umemalizika kwa ushindi wa goli 3-0 baada ya kukanyagwa mguuni na kapteni wa Coastal Union Haji Ugando dakika ya 21 ya mchezo.

Inonga alikimbizwa katika Hospitali ya Temeke jijini Dar kwa ajili ya kupatiwa matibabu zaidi.

SOMA NA HII  KUELEKEA MECHI LIGI KUU DHIDI YA AZAM....'SURE BOY' KAONA ISIWE TABU..KAAMUA KUFUNGUKA YOTE..