Home Habari za michezo WIKIEND INAKUJIA NA ODDS BOMBA KUTOKA MERIDIANBET….CHAKUFANYA KWAKO NI HILI…

WIKIEND INAKUJIA NA ODDS BOMBA KUTOKA MERIDIANBET….CHAKUFANYA KWAKO NI HILI…

Meridianbet

Ligi mbalimbali barani Ulaya zinaendelea wikendi hii na pesa ipo ndani ya Meridianbet na kule kuna ODDS KUBWA, machaguo zaidi ya 1000 na mengine kibao. Ingia www.meridianbet.co.tz ubashiri na mabingwa hawa wa ubashiri Tanzania nzima.

Ligi ya Ujerumani yani Bundesliga pia kama kawaida itapigwa, Borussia Dortmund baada ya kupokea kichapo kwenye ligi ya mabingwa atacheza dhidi ya Wolfsburg katika dimba la Signal Iduna Park. Terzic amepewa nafasi kubwa ya kushinda mchezo huu kwa ODDS ya 1.71 kwa 4.21. Wewe unamdhamini nani mechi hii?

RB Leipzig atakuwa mgeni wa Borussia Monchengladbach ambaye ametoka kutoa sare a kufungana mchezo wake uliopita wa ligi. RB ameendelea kuwa wa moto sana kwenye mechi zake nne zilizopita ambazo ameshinda zote. ODDS KUBWA zipo hapa bashiri sasa na Meridianbet.

Union Berlin baada ya kuchapwa kwenye ligi ya mabingwa atarejea kwenye ligi huku mpinzani wake akiwa ni Hoffenheim na nafasi ya kushinda mchezo huu amepewa mwenyeji akiwa na 2.11 kwa 3.28. Ingia Meridianbet na ubashiri mechi hii.

Meridianbet wamekuletea promosheni ya Keno ambayo unaweza kujishindia zawadi mbalimbali kama vile boda boda, simu aina ya Samsung A32 pamoja na pesa taslimu. Ingia Meridianbet na ucheze sasa.

Baada ya kutoka huko, hamia EPL ambapo kuna mechi kibao za kupiga mkwanja ya kwanza ni kati ya Crystal Palace dhidi ya Fulham ambapo mechi hii imejaa machaguo kibao pamoja na ODDS za kutosha. Kwenye mkeka wako usiache kuiweka mechi hii.

 Everton ambaye hajashinda mechi yoyote mpaka sasa yeye atakuwa ugenini kucheza dhidi ya Brentford ambaye ana majonzi ya kupoteza mchezo wake uliopita. Frank Thomas na vijana wake wamependelewa ODDS ya 1.81 ya ushindi kabisa huku The Toffees wakipewa 4.21 kuwa wababe wa mechi hiyo. Beti mechi hii sasa.

Mechi ya kuwania pointi zingine 3 hapo kesho itakuwa ni kati ya Luton Town dhidi ya Wolverhampton ambapo timu hizi zote mbili hazina mwenendo mzuri wa matokeo

huku mwenyeji akiwa ndiye anashika mkia na mgeni akiwa nafasi ya 16 kwenye msimamo wa EPL. Suka jamvi lako bila kusahau mechi.

Ndoto zako za ubingwa unaweza kuamua zianzie kule nchini Ufaransa ambapo ndani ya Ligue 1 utakutana na mechi kibao za kwenda yani namaanisha zenye kutoa mkwanja mrefu ya kwanza ni Monaco dhidi ya Nice ambao leo watakuwa dimbani kuwania pointi tatu muhimu. Monaco baada ya kulazimishwa sare mechi iliyopita atatka kupata pointi mbele ya mwenyeji wake. Je ataweza kushinda?

Mechi nyingine ya kukufanya uwe Milionea ni ile inayowakutanisha Nantes dhidi ya Lorient, kwanza mechi hii ina ODDS KUBWA pande zote mbili, mwenyeji amepewa 2.40 huku mgeni wake akipewa 2.89. Chaguo ni lako umpe mwenyeji au mgeni pale meridianbet.

 Ufaransa bado kuna mechi nyingine ya Stade Brest 29 dhidi ya Olympique Lyon. Lyon amekuwa na mwanzo mbaya sana kwenye ligi ambapo mpaka sasa anashika nafasi ya 16 kwenye baada ya kupata pointi 2 kwenye mechi 5 alizocheza. Mwenyeji yupo nafasi ya 2 akiwa na alama 10. Nani ni nani kesho?

Cheza michezo ya kasino ya mtandaoni inayotolewa na Meridianbet kama vile Aviator, Poker, Roulette, Keno, Wild Icy Fruits na mingine kibao kwa dau dogo tuu kuanzia shilingi 200.

Laliga itakuwa ya moto pia Valencia baada ya kushinda unono mechi iliyopita, safari hii atakuwa ugenini dhidi ya UD Almeria ambaye ndiye kibonde wa ligi mpaka sasa akiwa na pointi 1 pekee. Je mwenyeji anaweza kuvuna pointi 3 za kwanza kwenye mechi yake hapo kesho?

Celta Vigo yeye atacheza dhidi ya FC Barcelona ambaye hajapoteza mechi yoyote hadi sasa. Blaugrana kushinda mechi hii amepewa ODDS ya 1.27 huku mgeni akiwa na ODDS ya 9.40, Suka jamvi lako na Meridianbet na uweze kupiga pesa wikendi hii.

Girona FC atamualika kwake Mallorca, huku nafasi kubwa ya kuondoka na ubabe akipewa mwenyeji wa mchezo huo ambao utapigwa kesho majira ya saa 9:00 Alasiri hapo kesho. Mwenyeji upo nafasi ya 3 na mgeni yupo nafasi ya 15. Bashiri sasa.

Jckpoti kubwa ya Meridianbet inaendelea bashiri kupitia USSD kwa dau la shilingi 1000 pekee ili uweze kuvuna mkwanja wa shilingi 85,000,000 ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Piga *149*10#.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

SOMA NA HII  "TRY AGAIN" WA SIMBA:- HOROYA TUMEWAPIGA...VIPIGO VITAENDELEA HADI FAINALI...