Home Habari za michezo MECHI YA YANGA YAAHIRISHWA

MECHI YA YANGA YAAHIRISHWA

1237
0
Geita vs Yanga

Mchezo wa Kirafiki kati ya Yanga na Mlandege uliopangwa kuchezwa leo saa 03:30 asubuhi huko Avic Town umeahirishwa.

Kwa mujibu wa taarifa Yanga waliomba mchezo huo wa kirafiki lakini kutokana na ratiba ya Mlandege kubana wameamua kutocheza.