Home Habari za michezo KWENYE HILI SIMBA MI BORA KULIKO YANGA

KWENYE HILI SIMBA MI BORA KULIKO YANGA

TUCHEL AWAPIGIA SALUTI BALEKE,MAYELE...

Mtangazaji na mchambuzi wa soka Prisca Kishamba, amesema Yanga SC, inakosa aina ya washambuliaji kama waliopo Simba SC.

Prisca amesema, laiti ingekuwa na washambuliaji kama wa Simba kutokana na ubora wao basi wangekuwa hatari sana.

“Mtakubaliana na mimi Yanga ya Gamondi inakosa washambuliaji hatari kama walionao Simba kwa sasa hivi ,mtu kama Baleke kwa nafasi zilizotengenezwa na Yanga tungekuwa tunazungumza kitu tofauti na hiki tunachokisema sasa “

SOMA NA HII  MSEMAJI WA YANGA ATAJA SIFA HIZI ZA NAMBA SITA WA YANGA