Home Habari za michezo MANARA AIPA UBINGWA YANGA CAFCL……AFUNGUKA HAYA

MANARA AIPA UBINGWA YANGA CAFCL……AFUNGUKA HAYA

HAJI MANARA AUMBUKA...NI BAADA YA KUMGOMBANISHA RAISI YANGA NA MTANGAZAJI

Mhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amesema anaiona Yanga SC ikienda kushinda kikombe cha Klabu Bingwa Afrika msimu huu wa 2023/24.

Manara amesema kuwa amezitazama timu nyingi zilizofuzu hatua ya makundi ya Klabu Bingwa na kuona inawezekana kwa Yanga SC kushinda kikombe hicho.

“Yanga SC wana uwezo wa kuchukua hiki kikombe, wana timu imara ya kishindani katika kila idara, hivyo inawezekana kabisa wakachukua kikombe.

“Kama hawajawa mabingwa wajitahidi kufika hata hatua ya nusu fainali, lakini robo fainali ni hatua ambayo Simba SC huwa wanafika,“ amesema Haji Manara.

SOMA NA HII  SIMBA NA YANGA ZAFANYA KUFURU...ZIMEVUNA MAMILIONI HAYA KWA DK 90 TU