Home Habari za michezo FUKO LA MIPESA YA MERIDIANBET LEO LIMELALA KWENYE ODDS HIZI ZA USHINDI…

FUKO LA MIPESA YA MERIDIANBET LEO LIMELALA KWENYE ODDS HIZI ZA USHINDI…

Meridianbet

Manchester Derby inaweza kua sehemu ya wewe kujipigia mkwanja kwani mchezo huu unaokwenda kupigwa jumapili hii katika dimba la Old Trafford, Kwani mchezo huu umepewa ODDS KUBWA pale kwa mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet

Kikawaida Manchester Derby umekua ni mchezo wenye kusisimua na mgumu sana lakini umekua ukitoa pesa haswa, Meridianbet kwa namna ambavyo wamekua wana machaguzi mengi zaidi ni wazi mchezo huu lazima utatoa nafasi kwa wateja kuweza kutengeza mkwanja.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Mchezo huu utavuta hisia za watu wengi kwani vilabu vyote havijaanza vizuri sana katika ligi kuu ya Uingereza Man United wao wamepoteza michezo minne mpaka sasa, Huku majirani zao Man City wakipoteza michezo miwili hivo hii inatoa taswira ya namna mchezo unakwenda kua mgumu na mkali kwelikweli kwa vilabu vyote viwili.

Mbali na Manchester Derby lakini Jumapili itakua imepambwa na michezo mingine mikali kutoka katika ligi mbali mbali barani ulaya kuanzia pale Uingereza, Hispania, Ujerumani, Ufaransa, Italia, na hata Uholanzi.

Jumapili kutakua na mchezo wa kibabe sana pale kwenye ligi kuu ya Uingereza ambapo klabu ya Aston Villa watakua dimbani kumenyana na Luton Town ikisubiriwa kama vijana wa Unai Emery wataendeleza dozi, Lakini wagonga nyundo wa London nao klabu ya Westham United watakua nyumbani kumenyana na klabu ya Everton, Mchezo mwingine ambao unaweza kukupa maokoto ni mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Nottingham Forest.

Pale Italia Jumapili itakua ya kikubwa na ya kibabe kabisa ambapo klabu ya As Roma itakua nyumbani katika uwanja wao wa Estadio de Oylimpico kuwakaribisha klabu ya Inter Milan kila mmoja akihakikisha anapata matokeo mazuri ili kujiweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi kuu ya Italia, Mchezo mwingine wa kukata na shoka pale Serie A utakua kati ya klabu ya Napoli ambao watakua nyumbani kuikaribisha Ac Milan ambayo imetoka kupoteza mchezo uliopita hivo mchezo huu utakua sehemu ya kutaka kurejea kwenye njia ya ushindi.

Balaa lingine litakua pale Uholanzi ambapo itapigwa bonge la mechi ambayo mchezo wa mahasimu wakubwa nchini humo klabu ya PSV Eindhoven wakicheza na Ajax Amsterdam ambayo kwasasa imeonekana kushuka ubora kwa kiasi kikubwa, Lakini kwakua mchezo huu ni wa mahasimu unatarajiwa kua wenye ushindani mkubwa.

SOMA NA HII  BAADA YA KUKIWASHA VILIVYO MTIBWA....NDEMLA KURUDI MJINI KIULAINII...DOMAYO, MBOMBO KUMPISHA AZAM....