Home Habari za michezo KAMATA MCHONGO HUU MPYA WA KIBABE KUTOKA MERIDIANBET…

KAMATA MCHONGO HUU MPYA WA KIBABE KUTOKA MERIDIANBET…

Meridianbet

Mambo vipi? Hatimaye wikendi imeisha na sasa ni muda wa kupiga kazi kwa wewe unaetumia mtandao wa Halopesa ili ujiweke kwenye nafasi ya kushinda zawadi mbalimbali za Meridianbet ikiwemo Simu aina ya Samsung A32 na bonasi ya kasino.

Je unajua unawezaje kupata simu hiyo aina ya Samsung A32 na Bonasi ya kasino?. Nji rahisi ni hii hapa,

Kwanza inatakiwa uwe unatumia mtandao wa Halotel kwenye kufanya miamala ya Halopesa na Meridianbet.

Bado una michezo mingi unayoweza kufurahia kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Furahia michezo kama Piggy Party, Aviator, Poker, Roulette na mingine kibao.

Pili unatakiwa kuweka kiasi cha shilingi elfu 25000/= kwenye akaunti yako ya Meridianbet na HALOPESA na ucheze michezo mbalimbali ya kasino.

Promosheni hii ilianza mwezi huu Julai toka tarehe 1 ambapo itaenda hadi tarehe 15, ambaye atacheza mara nyingi ndiye atakayepata nafasi ya kushinda Samsung A32 na Bonasi ya Kasino na Meridianbet.

NB Kadri unavyoweka pesa mara nyingi, ndivyo unavyopata nafasi nyingi za kushinda baadhi ya zawadi.

Hebu fikiria umeweka elfu 25 pekee halafu inakufanya unakuwa mshindi wa simu janja ambayo itakusaidia kwenye mawasiliana na mitandao ya kijamii kama Instagram, Twiiter Facebook na mingine kibao.

Pia bonasi ya kasino ambayo itakuwezesha kucheza michezo mbalimbali ya kasino kama Wild Icy Fruits, Keno, Pia Premium na mingine ambayo inaweza kutimiza ndoto zako za muda mrefu.

Vigezo na Masharti ya promosheni hii,

  • Zingatia muda uliopangawa kama unataka kuwa mshindi ambapo mwisho ni tarehe 15 mwezi huu.
  • Tiketi za ubashiri wa michezo, lazima ziwe na matokeo siku hiyo hiyo ya kuweka pesa ili kustahili kupata bonasi.
  • Turbo cash na mfumo na tiketi za mfumo hazitastahili kupata bonasi.
  • Kumbuka kuwa Meridianbet ina haki ya kubadili sheria au kusitisha promosheni wakati wowote.
  • Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Hivyo mteja wa Meridianbet unaetumia mtandao wa HALOTEL hakikisha unasoma vizuri na kufata maelezo na masharti yote ya promosheni hii uwe na nafasi nzuri ya kuwa mshindi wa Samsung A32.

SOMA NA HII  KUELEKEA MECHI DHIDI YA SIMBA...AZAM FC WAFANYA MAAMUZI MAGUMU...