Home Habari za michezo MUDA WA KUKUSANYA MAOKOTO HUU HAPA…PANGA MKEKA WAKO KAMA HIVI KISHA NISHUKURU...

MUDA WA KUKUSANYA MAOKOTO HUU HAPA…PANGA MKEKA WAKO KAMA HIVI KISHA NISHUKURU BAADAYE…

Meridianbet

Unaelewa maana ya kutusua wewe ukiwa na Meridianbet? Basi ni hivi weka pesa yako Meridianbet ubashiri mechi zako uzitakazo ili uweze kupiga mkwanja wa maana kwa ni wikendi hii ligi zimerejea kwa kishindo cha maana sana. Na kuwa Milionea ni chaguo lako wewe.

Ngoja mimi nikupe usafiri hadi pale Ufaransa LIGUE 1 ambapo leo na kesho kutakuwa na mechi za kukata na shoka leo kuna mwenyeji Le Havre ambaye atamualika RC Lens mwenye ODDS ya 1.81 huku timu hizi zikiwa hazijatofautiana sana san kwenye nafasi zao mgeni yupo nafasi ya 14 kwa 13. Bashiri mechi hii sasa.

Wakati kesho mabingwa watetezi PSG wao watakuwa plae Parc des Princes kumenyana dhidi ya Strasbourg mwenye ODDS ya 10.78. Je mgeni anaweza kuwazuia vijana wa Enrique? huku akitazamia kutetea taji lake tena msimu huu.

Wakati kule Ujerumani BUNDESLIGA itaendelea tena ambapo leo hii majira ya saa 3:45 Borussia Dortmund baada ya kupata ushindi mchezo uliopita atakipiga dhidi ya Werder Bremen. Ushindi wa Dortmund utamfanya aongoze ligi akiwa na ODDS ya 1.30 kwa 7.84. Bashiri sasa mechi hii.

Thomas Tuchel na jeshi lake Bayern Munich watakuwa ugenini dhidi ya Mainz ambao siku zote huwa ni kikwazo kwao. 9.40 ni ODDS ya mwenyeji kushinda mechi hii wakati mgeni amepewa 1.25. Nani kuibuka mbabe kati yao? Je Tuchel atakubali kipigo ugenini? Suka jamvi lako mapema.

Naye Bayer Leverkusen chini ya Alonso wakiwa wanakimbiza vibaya ligi hiyo watakuwa wageni wa VFL Wolfsburg ambaye ana ODDS ya 4.21 kwa 1.76. Mara ya mwisho kukutana hakuna aliyekuwa mbabe kati yao. Je Leverkusen wataendelea kukaa kileleni? Beti mechi hii sasa.

 EPL sasa mechi ya saa 8:30 mchana ni kati ya  Liverpool dhidi ya Everton ikiwa ni Merseyside derby huku nafasi kubwa ya ushindi amepewa Klopp akiwa na ODDS ya 1.32 kwa 7.44. Mara ya mwisho kukutana Jogoo alishinda. Je nani kuibuka mshindi kesho?

Mechi nyingine itakuwa ni kati ya vijana wa Pep Guardiola Manchester City ambaye atakuwa Etihad kumkaribisha Brighton ya De Zerbi. City amepoteza mechi mbili mfululizo za ligi. Je na kesho atakubali kupoteza mechi ya tatu? Suka jamvi lako hapa.

Katika dimba la ST James’ Park Newcastle United baada ya kulazimishwa sare ugenini atamualika Crystal Palace ambaye naye pia alitoa sare mchezo wake uliopita. Mechi ya mwisho kukutana hakuna aliyekuwa mbabe. Howe amepewa ODDS ya 1.46 kushinda mechi hii kwa 6.86. Bashiri sasa.

Majira ya 1:30 usiku itapigwa LONDON DERBY kati ya Chelsea dhidi ya Arsenal ambapo nafasi kubwa ya kushinda mechi hii pale Meridianbet amepewa The Gunners akiwa na ODDS ya 2.54 kwa 2.99. The Blues wapo nafasi ya 11 huku Arteta akiwa nafasi ya 2. Beti mechi hii pia.

Vilevile JACKPOT baab kubwa ya Meridianbet inaendelea kama kawaida ambapo Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kutolewa ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13 kwa dau la shilingi 1000. Kwa wale wa kitochi na USSD menyu ni ile ile *149*10#. Ingia www.meridianbet.co.tz ubashiri sasa.

LALIGA nayo ni ya moto sana wikendi hii huku mechi za kukupatia mkwanja zikiwa ni kama zote tukianza na leo ambapo mwenyeji CA Osasuna ambaye yupo nafasi ya 12 atamualika Granada anayeshikilia nafasi ya 19. Mwenyeji kushinda ana ODDS ya 1.72 kwa 4.60. Bashiri mechi hii.

Utamu mwingine wa soka la Hispania utakuwa pale Sanchez Pazjuan ambapo kinara wa ligi Real Madrid atakuwa mgeni wa Sevilla. Real ana ODDS ya 1.86 kushinda mchezo huu kwa 3.92. Wakati mwenyeji wake akiwa nafasi ya 14, je Ancellotti na vijana wake watafanya nini?

Vijana wa Diego Simeone Atletico Madrid  watakuwa ugenini dhidi ya RC Celta Vigo ambaye yupo nafasi ya 18 kwenye msimamo wa ligi. Mara ya mwisho kukutana msimu uliopita Atletico alichukua pointi sita zote. Je mwenyeji atalipa kisasi? Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet.

Kipute kingine kitakuwa kule SERIE A ambapo vijana wa Rudi Garcia ambao ndio mabingwa watetezi, Napoli watakuwa wageni wa Hellas Verona  amepewa ODDS ya 5.29 kwa 1.64. Mara ya mwisho kukutana walitoka suluhu. Tofauti ya pointi kati yao ni 6. Suka jamvi lako na uweke mechi hii.

Majira ya saa 1:00 Torino atazichapa dhidi ya Inter Milan ya Simone Inzaghi anayeshikilia nafasi ya pili. Mwenyeji yupo nafasi ya 14 akivuna pointi 9 pekee kwenye mechi nane alizocheza. Walipokutana mara ya mwisho Milan alishinda zote.

Wakati majira ya 3:45 Sassuolo atamleta nyumbani Lazio huku wote wakiwa pointi 10 kwenye ligi. Mechi hii ni ya ushindani sana kwani timu yoyote inaweza kuondoka na alama 3. Sarri na vijana wake wataweza kuchomoka ugenini?

SOMA NA HII  TAARIFA RASMI: FIFA WASHUSHA RUNGU LA ADHABU KWA GEITA GOLD...ISHU YA NDAIRAGIJE YAWAPONZA...