Home Habari za michezo RAIS WA YANGA KUTOKA JANGWANI MPAKA KILELE CHA KILIMANJARO

RAIS WA YANGA KUTOKA JANGWANI MPAKA KILELE CHA KILIMANJARO

eng

Rais wa Yanga SC, Hersi Said ni miongoni mwa viongozi waliofanikiwa kufika katika kilele cha Mlima wa Kilimanjaro, Jijini Arusha.

Rais huyo aliyeko mapumzikoni hivi sasa ameonesha picha yake alivyokuwa amefika kileleni hapo, huku akiwa amejifunika nguo yenye nembo ya timu hiyo.

SOMA NA HII  WAKATI WATU WAKIMUONA 'CHENGA' KWA VITUKO VYAKE...UKWELI NI KWAMBA HAKUNA SIMBA BILA MORRISON..