Home Habari za michezo SIMBA NA YAHYA MBEGU MPAKA KIELEWEKE

SIMBA NA YAHYA MBEGU MPAKA KIELEWEKE

Taarifa kutoka ndani ya Klabu ya Simba zinasema kuwa, viongozi wa timu hiyo bado wanaendelea kufuatilia kwa karibu Kiwango cha Yahya Mbegu wa Singida Fountain Gates.

Ikumbukwe kuwa Simba hapo awali walikuwa wakihitaji huduma ya beki huyo wakushoto lakini Yeye aliamua Kujiunga na Singida Fountain Gate mwanzoni mwa msimu huu.

Mbegu anatazamiwa kwenda Simba kuwa msaidizi wa Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ kwenye safu ya ulinzi hususan beki wa kushoto.

SOMA NA HII  UONGOZI SIMBA WATOA TAMKO JUU YA YANGA KUWA MOJA YA TIMU SHIRIKI CAF MSIMU UJAO