Habari za Simba SC
Habari za michezo

BOCCO NA SIMBA SASA NI MAJI YA JIONI WAKATI WOWOTE TUTASIKIA TANGAZO HILI

Staff Desk November 5, 2023 12:34 am

Mshambuliaji wa klabu ya Simba, John Bocco anamaliza mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi mwishoni mwa msimu huu na atakuwa Mchezaji huru (Free agent) ambapo klabu yake haifikirii kumpa kandarasi zaidi.

John Bocco hayupo kwenye mipango ya Klabu ya Simba baada ya kumalizika kwa msimu huu, na klabu ya Simba kuendelea msimu unaofuata tayari klabu imempa taarifa.

Aidha pia Simba watazungumza na John Bocco ili kumtafutia utendaji wa kazi kwenye Menejiment ya klabu ya Simba, Bocco anawapa kipaumbele kikubwa sana Simba kwenye upatikanaji wa kazi mbalimbali za Wekundu wa Msimbazi.

ACHA KIPIGWE TU……. REKODI ZA REFA ZASHTUA, MAKOCHA WAWEKEANA BIFU KIZAAZAA CHA MZAMIRU YASIN KWENYE DABI, ROBERTINHO ALISEMA HIVI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply