Home Habari za michezo AUCHO AFUNGIWA MECHI TATU,REFA COASTAL UNION NA YANGA WAHUSISHWA NJE NUSU MWAKA

AUCHO AFUNGIWA MECHI TATU,REFA COASTAL UNION NA YANGA WAHUSISHWA NJE NUSU MWAKA

Habari za Yanga leo

KIUNGO wa Kimataifa wa Uganda, Khalid Aucho amefungiwa mechi tatu na kutozwa Faini ya Sh. 500,000 kwa kosa la kumpiga kiwiko kiungo wa Coastal Unión, Ibrahim Ajibu katika mchezo baina ya timu hizo mwezi huu Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.

Aidha, refa wa mchezo huo, Emmanuel Mwandembwa wa Arusha amefungiwa miezi sita kwa kosa kutotafsiri Sheria 17 za kandanda kwa ufasaha.

SOMA NA HII  JINSI PACOME ALIVYOINUSURU YANGA KWENYE HATARI YA WARABU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here