Home Habari za michezo CHAMA HALI SI HALI SIMBA MAMBO YAZIDI KUWA MAGUMU

CHAMA HALI SI HALI SIMBA MAMBO YAZIDI KUWA MAGUMU

Habari za Simba

Kiungo mshambuliaji wa Simba Clatous Chota Chama ameuanza msimu huu vibaya kwenye ligi kuu tofauti na misimu iliyopita akiwa ndani ya timu hiyo.

Takwimu zilizokusanywa na Tanzaniaweb.com zinaonyesha kuwa Chama msimu uliopita alikuwa kinara wa kutoa pasi za mabao ambapo aliongoza kwa Asisti 14 na mabao 4.

Msimu huu mambo yamekuwa mabaya kwa Chama kwani mpaka sasa ametoa asisti 1 tu tofauti na msimu uliopita katika mzunguko wa 7 wa ligi tayari alikuwa ametoa asisti 5 na mabao 2.

SOMA NA HII  YANGA YABAKISHA SIKU NNE KUWASHANGAZA MASHABIKI NA WADAU