Home Habari za michezo KIMEUMANA YANGA LEO HUKO UGENINI CAFCL

KIMEUMANA YANGA LEO HUKO UGENINI CAFCL

Habari za Yanga

KLABU ya Yanga leo inashuka dimbani Algeria katika mchezo wa kwanza michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kundi D dhidi ya CR Belouizdad.

Mchezo huo utafanyika kwenye uwanja wa 5 July 1962 uliopo mjii mkuu wa nchi hiyo, Algiers.

Mchezo mwingine wa michuano hiyo leo ni wa kundi A ambapo Pyramids itakuwa uwanja wa nyumbani wa 30 June uliopo Cairo, Misri dhidi ya TP Mazembe.

SOMA NA HII  WAPINZANI WA YANGA LIGI YA MABINGWA KAZIKAZI HAINA KUPOA