Home Habari za michezo WAPINZANI WA YANGA LIGI YA MABINGWA KAZIKAZI HAINA KUPOA

WAPINZANI WA YANGA LIGI YA MABINGWA KAZIKAZI HAINA KUPOA

Habari za Yanga

Wakati wananchi wakicheza mechi ya mwisho ya ligi Novemba 8 kisha watapumzika mpaka Novemba 24 kukipiga dhidi ya CR Belouizdad kwenye Makundi ya CAFCL.

Hali ni tofauti kutoka kwa Wapinzani wao CR Belouizdad ambao wao wataendelea kucheza michezo ya ligi kuu.

Jana Novemba 10 CR Belouizdad walicheza na wakapoteza 2-1 dhidi ya USM Alger. Mchezo mwingine wa ligi wanatarajiwa kucheza Novemba 14 vs Paradou ugenini.

Mchezo wa mwisho kabla ya kukutana na Yanga watacheza Novemba 19 vs JS KABYLIE siku 5 Kabla ya kuja kucheza na Yanga SC.

SOMA NA HII  PAMOJA NA KUWA NA KIWANGO CHA 'PANDA SHUKA'...LUSAJO APATA WA KUMTETEA LIGI KUU...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here