Home Habari za michezo MWANUKE BYE BYE SIMBA

MWANUKE BYE BYE SIMBA

Taarifa kutoka ndani ya Klabu ya Simba zinaeleza kuwa uongozi wa timu hiyo upo kwenye mpango wa kumtoa kwa mkopo Kiungo Mshambuliaji, Jimmyson Mwanuke katika dirisha lijalo la usajili ili kulinda kipaji chake.

Kutokana na hilo Klabu ya Simba inataka kumpeleka kwa mkopo kiungo mshambuliaji, Jimmyson Mwanuke katika Klabu ya Dodoma Jiji FC ya Dodoma.

Jimmyson katika dirisha lililopita la usajili alikataa kutolewa kwa mkopo na Simba ambapo alikubali kuvunjiwa mkataba na mpaka sasa klabu imempa taarifa inataka kumtoa kwa mkopo.

SOMA NA HII  HATUJAMALIZAAAA..... CHUMA HIKI HAPA KINAKUJA SIMBA, NI MKATA UMEME HASWA, PHIRI HATIHATI KUKATWA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here