Home Habari za michezo MNARA AMTAJA GMS ISHU YA YEYE KUJIUNGA NA YANGA

MNARA AMTAJA GMS ISHU YA YEYE KUJIUNGA NA YANGA

HAJI MANARA AUMBUKA...NI BAADA YA KUMGOMBANISHA RAISI YANGA NA MTANGAZAJI

Aliyewahi kuwa msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara amesema kuwa alianza kuichukia klabu hiyo mara tu baada ya kuondoka na kujiunga na watani zao Yanga SC, mwwanzoni mwa msimu wa 2021/2022.

Baada ya kutofautiana na baadhi ya viongozi wa Simba kisha kuondolewa klabuni hapo, Manara amesema alijiunga na Yanga baada ya kupigiwa simu na mdhamini wa klabu hiyo, mfanyabiashara Ghalib Said Mohammed (GSM) na kumtaka ajiunge na Wananchi.

β€œGhalib (GSM) aliniambia kama utani kwamba mimi nikikupata wewe yaani hawa Simba hawajui kabisa kukutumia.

β€œKwenye mazungumzo Ghalib akanitania kama atafurahi tukifanya kazi pamoja mimi nikawa naona utani lakini baada ya yale matukio ndio ikawa hivyo kwahiyo siku niliyotoka Simba ndio siku nilianza kuichukia Simba,” amesema Haji Manara.

SOMA NA HII  SIMBA HUYU NI MTU SIO MALAIKA.... MSIJIJAZE UPEPO