Home Habari za michezo ALLY KAMWE AJA NA MKWARA WA 5G DHIDI YA AL AHLY

ALLY KAMWE AJA NA MKWARA WA 5G DHIDI YA AL AHLY

Wakati wakijiandaa na mchezo wa pili hatua ya Makundi dhidi ya Bingwa mtetezi Al Ahly katika Uwanja wa Mkapa.

Afisa habari wa Yanga Ali Kamwe anasema mchezo wa Jumamosi hautakuwa na utani hata chembe kwao na hasa baada ya kupoteza alama tatu ugenini mbele ya CR Beloiuzdad

“Unajua Yanga SC inapodhamiria jambo ikaenda na nguvu moja na matokeo yake ndio mnara unasoma kwa hiyo tunapoenda Jumamosi Yanga SC tukiwa na lugha moja tunataka ushindi mbele ya Al Ahly na utapatikana inshallah, tutaujaza uwanja wa Benjamin Mkapa.”- amesema Afisa Habari wa Yanga SC,

SOMA NA HII  MWAMNYETO ALIANZISHA YANGA... ATAKA KUTUMKIA HUKU