Home Habari za michezo MANARA AFUNGUKA KUHUSU MO DEWJI NA AINA YA WATU ANAOWAPENDA

MANARA AFUNGUKA KUHUSU MO DEWJI NA AINA YA WATU ANAOWAPENDA

RAISI WA HESHIMA SIMBA...MO DEWJI AMSAMEHE HAJI MANARA...

Aliyewahi kuwa msemaji wakLabu ya Simba, Haji Manara amesema kuwa baada kuteuliwa jwa barbara Gonzalez kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa klabu hiyo, yeye alimpigia simu Mohammed Dewji na kuomba aondoke.

Manara amesema alifanya hivyo kwa sababu alijua fika kuwa hatoweza kufanya kazi na dada huyo kutokana na tabia zake.

“Mo Dewji hana shida na mimi, mimi na yeye hatukuwahi kuwa na shida, kwanza Dewji anapenda watu wa aina yangu watu wanaoprotect timu lakini sasa wakawa wanamjaza kwamba Haji anakuwa maarufu kuliko wewe.

“Tukienda uwanjani mimi ninambwembwe na najua kujibrand siwezi kuingia uwanjani kabla uwanja haujajaa sasa ile wakawa wanamjaza kwamba wewe ndio unatoa hela lakini anasifiwa Haji, mimi nilimwambia hawa wanakujaza,” amesema Hajis Manara.

SOMA NA HII  UONGOZI SIMBA WAFURAHISHWA NA MABADILIKO HAYA YALIYOFANYWA NA BENCHIKHA