Home Azam FC KISA SAFARI YA ZANZIBAR ALLY KAMWE AMPIGA KIJEMBE FEI TOTO

KISA SAFARI YA ZANZIBAR ALLY KAMWE AMPIGA KIJEMBE FEI TOTO

Afisa Habari wa Yanga SC Ally Kamwe

Ofisa Habari Yanga, Ally kamwe amesema safari yote ya Zanzibar majibu kamili yatapatikana saa 5 asubuhi hii wananchi watapata Habari zote kwanini Yanga imekuja Zanzibar.

Ally kamwe amewapiga kijembe Azam FC kama wangempata Mchezaji kama Pacome wangemchukua na kupiga nae picha kwenye boti ya Azam FC baada ya kufanya hivyo kwa Feisal Salum ‘Feitoto’

SOMA NA HII  SIO SIMBA, SIO YANGA MAKOCHA HALI TETE NGAO YA JAMII