Home Habari za michezo WADAU WA SOKA LA BONGO WATAKA KOCHA MPYA WA SIMBA APIMWE HIVI

WADAU WA SOKA LA BONGO WATAKA KOCHA MPYA WA SIMBA APIMWE HIVI

Habari za Simba

Mchambuzi wa soka Bongo George Ambangile, amesema kocha mpya wa Simba SC, anapaswa kupewa muda kabla ya watu kuhukumu kama anaweza kuiletea Simba mafanikio au la.

Ambangile ametoa kauli hiyo leo Novemba 30, 2023 alipokuwa akijibu swali la mtangazaji Ahmed Abdallah wa Wasafi FM aliyehoji je Kocha mpya wa Simba, apewe mechi ngapi ndio ajadiliwe staili ya uchezaji na matokeo.

“Benchikha apewe Mechi zisizopungua 10 angalau tutaanza kuona timu yake inavyocheza na kusisitiza, anahitaji muda ukizingatia amekosa preseason na Kikosi hicho,” alisema Ambangile.

SOMA NA HII  KISA MECHI YA JANA....MORRISON AMTIA NGUMI ZA USO SHABIKI WA YANGA....AFIKISHWA POLISI CHAP...