Home Habari za michezo WAFCON KUTIMUA VUMBI LEO, TWIGA STARS KUSHUKA DIMBANI

WAFCON KUTIMUA VUMBI LEO, TWIGA STARS KUSHUKA DIMBANI

TIMU ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanawake (Twiga Stars) leo inashuka dimbani katika mchezo wa kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wanawake(WAFCON 2024) .

Mchezo huo utafanyika kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Mchezo wa marudiano utafanyika Togo Desemba 5, 2023.

SOMA NA HII  CHAMA,MUSONDA WAREJEA ZAMBIA..... ISHU IKO HIVI