Home Azam FC ASFC KUTIMUA MBIO HII HAPA RATIBA YAKE, SIMBA, YANGA NA AZAM NDANI...

ASFC KUTIMUA MBIO HII HAPA RATIBA YAKE, SIMBA, YANGA NA AZAM NDANI YA USHINDANI MZITO

DROO ya raundi ya pili ya michuano ya ya Kombe la Shirikisho la Azam(ASFC) imefanyika leo ambapo mabingwa watetezi Yanga itacheza dhidi ya Hauling ya Njombe, Simba ikikiwasha dhidi ya Tembo kutoka Tabora wakati Azam itakumbana na Alliance ya Mwanza.

Michezo hiyo itafanyika kati ya Desemba 15 na 17, 2023.

Mechi nyingine ni kama ifyatavyo:

Singida Fountain Gate vs Arusha City
KMC vs ACA Eagle
Dodoma Jiji vs Magereza
Kagera Sugar vs Dar City
Geita Gold vs Singida Cluster
Namungo vs Hollywood
Tabora United vs Monduli Coffee
Coastal Union vs Greenland
Ihefu vs Rospa
Tanzania Prisons vs TRA Kilimanjaro
Mtibwa Sugar vs Nyakagwe
Mashujaa vs Mbuga
Mbuni vs Bus Stand
Biashara UTD vs THB
Ken Gold vs Gunners
Pan African vs Nyamongo
Pamba vs Eagle
FGA Talents vs Buhaya
Transit Camp vs Air Ports
Green Warriors vs Kilimo
Polisi Tanzania vs Nyumbu
Mbeya Kwanza vs Bunda Kids
Mbeya City vs African Lyon
Copco vs Mabao
Ruvu Shooting vs Mkwajuni
Cosmopolitan vs Rhino Rangers
Stand UTD vs TANESCO
TMA vs Sharp Lion

SOMA NA HII  UONGOZI WA SIMBA WAFUNGUKA MAZITO KUHUSU PHIRI KUTOKUCHEZA