Home Habari za michezo YANGA DIMBANI LEO DHIDI YA AL AHLY

YANGA DIMBANI LEO DHIDI YA AL AHLY

Habari za Yanga

Klabu ya Al Ahly hii leo inacheza mchezo wake wa Ligi kuu nchini Misri majira ya saa mbili usiku dhidi ya Smouha SC kabla ya kuianza safari ya kuja nchini.

Al Ahly ina kibarua kizito mbele ya Yanga December 2, kwenye mchezo wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika.

Unadhani kwanini timu zetu hazina ratiba ya kucheza michezo ya Ligi hivi sasa ?

SOMA NA HII  N YANGA TENA....WAZIMA MAZIMA TETESI ZA MAYELE RASMI....HAKUNA CHA KWENDA MISRI WALA MOROCCO...