Home Habari za michezo MSHAMBULIAJI HATARI WA MADEAMA AREJEA KIKOSINI KUIMALIZA YANGA

MSHAMBULIAJI HATARI WA MADEAMA AREJEA KIKOSINI KUIMALIZA YANGA

Mshambuliaji hatari wa Medeama FC, Jonathan Sowah amerudi rasmi kwenye kikosi hicho baada ya kukosekana kwenye mchezo uliopita dhidi ya CR Belouizdad kutokana idadi ya kadi za njano alizokuwa nazo.

Mshambuliaji hatari wa Medeama FC, Jonathan Sowah amerudi rasmi kwenye kikosi hicho baada ya kukosekana kwenye mchezo uliopita dhidi ya CR Belouizdad kutokana idadi ya kadi za njano alizokuwa nazo. Sowah mwenye miaka 24 ndiyo moja ya wachezaji hatari ndani ya kikosi hicho, akiwa ameweka wavuni mabao 6 hadi sasa yakiwemo mawili kwenye Caf Champions League

SOMA NA HII  ACHANA NA MASTAA WAPYA....MAKOCHA WAPYA WATAKAO MSAIDIA MBRAZILI SIMBA HAWA HAPA..