Home Habari za michezo PAMOJA NA MAN CITY KUYUMBA…LAKINI ‘WAUNI’ BADO WANAIKUSANYIA ‘MTONYO’ KUPITIA MERIDIANBET..

PAMOJA NA MAN CITY KUYUMBA…LAKINI ‘WAUNI’ BADO WANAIKUSANYIA ‘MTONYO’ KUPITIA MERIDIANBET..

Meridianbet

Gari la klabu ya Manchester City linaonekana kwenda mrama kunako ligi kuu ya Uingereza na hii ni baada ya kukubali kichapo cha bao moja kwa bila usiku wa jana dhidi ya klabu ya Aston Villa.

Baada ya kupoteza mchezo wa jana dhidi ya Aston Villa katika dimba la Villa Park imewafanya Manchester City kutimiza michezo minne ya bila ya kupata matokeo ya ushindi, Kwani klabu hiyo imepoteza mchezo mmoja na kusuluhu michezo mitatu kati ya michezo minne ya mwisho klabu hiyo iliyocheza.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Mabingwa hao watetezi wa ligi kuu ya Uingereza wanapitia kipindi kigumu ambacho hawajawahi kupitia kwa miaka takribani 10 ya hivi karibuni, Kwani klabu hiyo imekua ikiitawala ligi hiyo kwa miaka saba nyuma hivo kukosa matokeo katika michezo minne mfululizo ni jambo la kushtua.

Manchester City baada ya kutokufanya vizuri hivi karibuni kuna sababu kadhaa zilizochagiza kutokea kwa hali hiyo ni kama majeraha yakiwaandama wachezaji wake muhimu, uchovu wa msimu uliomalizika, Lakini pia wachezaji waliosajiliwa kama mibadala ya walioondoka kushindwa kuonesha makali mpaka sasa.

Manchester City wanapitia kipindi kigumu kwenye michuano ya ligi kuu ya Uingereza lakini haitazuia kuacha kujipigia mikwanja, Kwani mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wanaendelea kumwaga ODDS KUBWA katika michezo mbalimbali barani ulaya.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

SOMA NA HII  SIMBA WATOA MILIONI 10 HOSPITALI YA MWANANYAMALA