Habari za michezo
KOMBE LA DUNIA YA VILABU SIMBA NDANI…. FIFA YATOA TAMKO HILI
Staff Desk
December 25, 2023
2:32 pm
Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) leo limetaja timu ambazo zipo katika nafasi ya kuweza kuwania kucheza Fainali za Kombe la Dunia kwa Vilabu 2025.
Tanzania na Afrika Mashariki ni Simba SC pekee ndio imekidhi vigezo vya kuwa katika timu 12 zenye nafasi ya kupambana kwenye mchujo huo.
Mfumo mpya wa Kombe la Dunia la Vilabu utahusisha jumla ya timu 32 kutoka mabara yote kwa Afrika ni timu nne pekee ndio zitafuzu kati ya 12 zilizotajwa na FIFA.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.