MSEMAJI WA SIMBA AFUNGUKA HAYA BAADA YA KUTAJWA FIFA
Klabu ya Simba SC imeweka wazi kuwa, timu yao itajipanga vyema kuvuna alama za kutosha katika Ligi ya Mabingwa Barani Afrika msimu huu 2023/24, ili…
Klabu ya Simba SC imeweka wazi kuwa, timu yao itajipanga vyema kuvuna alama za kutosha katika Ligi ya Mabingwa Barani Afrika msimu huu 2023/24, ili…
Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) leo limetaja timu ambazo zipo katika nafasi ya kuweza kuwania kucheza Fainali za Kombe la Dunia kwa Vilabu 2025. Tanzania…
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limeifungia kusajili Klabu ya Simba mpaka itakapolipa madai ya Klabu ya Teungueth ya Senegal juu ya mauzo ya Mchezaji Pape…
Klabu ya Simba SC, imefungiwa kusajili mpaka itakapomlipa madai ya klabu ya Teungueth ya Senegal kuhusu mcheza Pape Ousmane Sakho. Uamuzi huo umefanywa na Shirikisho…
Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar, Zuberi Katwila amesema atatumia mapumziko ya kalenda ya FIFA, kurekebisha makosa ya kikosi chake ambacho kinashika mkia kwenye msimamo wa…
Wakati Simba ikiendelea kujiandaa na mechi ya ufunguzi wa michuano mipya ya African Football League (AFL) dhidi ya Al Alhy ya Misri, ghafla imejikuta ikianguka…
Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula, amesema marais wa FIFA na CAF ni miongoni mwa watu mashuhuru watakaofika kushuhudia mchezo wao wa ufunguzi dhidi ya…