Home Habari za michezo DEAL DONE, CHASAMBI ATUA MSIMBAZI….. YANGA WAPIGWA NA KITU KIZITO

DEAL DONE, CHASAMBI ATUA MSIMBAZI….. YANGA WAPIGWA NA KITU KIZITO

Tetesi za Usajili Simba SC

Taarifa njema kwa mashabiki wa Simba SC ni kusainiwa kwa winga Ladaki Chasambi kwa mkataba wa miaka miwili.

Simba imewapiku wapinzani wao Yanga SC ambao imeripotiwa kuwa nao walikuwa wanamwinda winga huyo anayekipiga katika klabu ya Mtibwa Sugar.

Chasambi amepandisha msimu huu kwenye timu ya kwanza akitokea timu ya vijana chini ya miaka 20.

SOMA NA HII  MASTAA HAWA SIMBA, WYDAD KUUKOSA MCHEZO WA MARUDIANO KWA MKAPA