Home Habari za michezo HUYU HAPA MSAIDIZI WA AUCHO YANGA

HUYU HAPA MSAIDIZI WA AUCHO YANGA

Klabu ya Yanga imefungua mazungumzo na kiungo mkabaji Bonaventure Fonseca anayekipiga Teungueth Fc ya Senegal.

Mazungumzo ya awali yamefanyika na mchezaji amevutiwa na uhamisho huo. Yanga wataanza mazungumzo na Teungueth hivi karibuni.

SOMA NA HII  UONGOZI YANGA WAKAA KIKAO AJENDA KUU NI UBINGWA TU