Home Habari za michezo KAMA UTANI VILE KOCHA NAMUNGO ABWAGA MANYANGA

KAMA UTANI VILE KOCHA NAMUNGO ABWAGA MANYANGA

Aliyekuwa kocha wa klabu ya Namungo FC ya Lindi, Denis Kitambi ameachana na klabu hiyo.

Jana (Jumatatu) baada ya mazoezi alipata muda wa kuwaaga wachezaji na Viongozi wa klab hiyo na kuwatakia kheri katika michezo yao ijayo.

Kitambi alichukua majukumu ya kuinoa Namungo FC baada ya kuondoka kwa Kocha Cedrick Kaze.

SOMA NA HII  KIVUMBI LEO, MAYELE KINUMANA NA TP MAZEMBE LEO