Home Habari za michezo KIRAKA HUYU KUTOKA SIMBA KUTUA KAGERA SUGAR

KIRAKA HUYU KUTOKA SIMBA KUTUA KAGERA SUGAR

Habari za Simba

Kiraka Nasoro Kapama aliyesimamishwa na klabu yake ya Simba kwasababu ya utovu wa nidhamu anahitajika na Kagera Sugar.

Kiraka Nasoro Kapama aliyesimamishwa na klabu yake ya Simba kwasababu ya utovu wa nidhamu anahitajika na Kagera Sugar. Kagera Sugar Wanajiandaa kutuma ofa yao rasmi kwa Simba ili kuipata saini ya Kapama Nassoro ambaye amekuwa akishinikiza kuondoka katika klabu ya Simba kutoka a na kutopata nafasi ya Kucheza

SOMA NA HII  SIMBA KUSHUSHA WINGA MATATA